Na kule meatu napo huku ni lini?
ninamaanisha jimbo la Thomas Nyimbo aliloporwa na jah People
Hapana si kweli, Jimbo la Thomasi Nyimbo lilichukuliwa na Eng Gerson Lwenge CCM {Jimbo la Njombe Magharibi} Jimbo la Jah People ni Njombe Kaskazini. Kwa taarifa tu Mkuu.
Mkuu hujaeleweka, ni Njombe ipi unayozungumzia wewe? Njombe kuna majimbo matatu: yaani Njombe Kaskazini (Deo Sanga a.k.a Jah People ndio mbunge kwa sasa, huyu alimshinda Alatanga Nyagawa wa CDM); Njombe Kusini (Mbunge wake Spika Makinda alipita bila kupingwa); na Njombe Magharibi Mbunge wake ni Eng. Gerson Lwenge. Lwenge ndiye aliyemshinda Thomas Nyimbo wa CDM kwenye uchaguzi 2010. Fafanua ni jimbo gani hasa unalozungumzia.
Rafu zilichezwa sana dakika za mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, zikiongozwa na Pinda na Makinda. CDM kule walishindwa kwa mbinu kadhaa ikiwa ni pamoja na vitisho kwa wananchi, wananchi kupewa "elimu" potofu, wizi wa kura, etc. Kiukweli Nyimbo alipambana sana na alikuwa anaelekea kushinda kabisa, ukiacha Iringa mjini, Njombe Magharibi ni jimbo jingine ambalo lilionekana wazi kwenda upinzani. Kukosekana kwa uongozi thabiti wa CDM ktk wilaya ya Njombe kulichangia kwa kiasi fulani maana Nyimbo alikuwa kama jeshi la mtu mmoja. I hope CDM wamejifunza sasa.
Sina habari za hiyo kesi, nitaendelea kutafuta nikipata updates zozote nitawajulisha.
hongera wewe ni great thinker unachambua mambo kitaalamu!!!Mkuu hujaeleweka, ni Njombe ipi unayozungumzia wewe? Njombe kuna majimbo matatu: yaani Njombe Kaskazini (Deo Sanga a.k.a Jah People ndio mbunge kwa sasa, huyu alimshinda Alatanga Nyagawa wa CDM); Njombe Kusini (Mbunge wake Spika Makinda alipita bila kupingwa); na Njombe Magharibi Mbunge wake ni Eng. Gerson Lwenge. Lwenge ndiye aliyemshinda Thomas Nyimbo wa CDM kwenye uchaguzi 2010. Fafanua ni jimbo gani hasa unalozungumzia.
Nasema
Thanx kwa maelezo haya ambayo ni well informed. Ukipata maendeleo ya kesi pls tupe updates maana nashangazwa na ukimya uliopo katika kesi hii
Rafu zilichezwa sana dakika za mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, zikiongozwa na Pinda na Makinda. CDM kule walishindwa kwa mbinu kadhaa ikiwa ni pamoja na vitisho kwa wananchi, wananchi kupewa "elimu" potofu, wizi wa kura, etc. Kiukweli Nyimbo alipambana sana na alikuwa anaelekea kushinda kabisa, ukiacha Iringa mjini, Njombe Magharibi ni jimbo jingine ambalo lilionekana wazi kwenda upinzani. Kukosekana kwa uongozi thabiti wa CDM ktk wilaya ya Njombe kulichangia kwa kiasi fulani maana Nyimbo alikuwa kama jeshi la mtu mmoja. I hope CDM wamejifunza sasa.
Sina habari za hiyo kesi, nitaendelea kutafuta nikipata updates zozote nitawajulisha.
Upo sahihi, hata CDM wenyewe hawakuwa na askari wa kutosha 2010 ila sasa askari wapo wa kutosha sana tu, na sera ya CDM ni kuwawezesha wenye wilaya yao/ Jimbo wajisimamie zaidi baada ya kukelwa na mfumo na tuseme ukweli CDM Iringa yote imesima baada ya 2010. Tupo pamoja, tutafika tu.Rafu zilichezwa sana dakika za mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, zikiongozwa na Pinda na Makinda. CDM kule walishindwa kwa mbinu kadhaa ikiwa ni pamoja na vitisho kwa wananchi, wananchi kupewa "elimu" potofu, wizi wa kura, etc. Kiukweli Nyimbo alipambana sana na alikuwa anaelekea kushinda kabisa, ukiacha Iringa mjini, Njombe Magharibi ni jimbo jingine ambalo lilionekana wazi kwenda upinzani. Kukosekana kwa uongozi thabiti wa CDM ktk wilaya ya Njombe kulichangia kwa kiasi fulani maana Nyimbo alikuwa kama jeshi la mtu mmoja. I hope CDM wamejifunza sasa.
.