Hukumu kesho,biharamulo magharibi cdm vs chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu kesho,biharamulo magharibi cdm vs chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Apr 29, 2012.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shalom wanajamii napenda kutoa taarifa kesho ni siku ya hukumu katika jimbo la biharamulo magharibi,ikumbukwe kua jimbo hilo linaongozwa na cdm kupitia mh Mbasa na aliefungua kesi ni oscar mkasa wa ccm akisaidiwa na katibu wa mkoa wa dr wa ccm kwa sasa ili ajisafishemiongoni mwa tuhuma ni kua wapiga kura sio raia wa tanzania wakiongozwa na askofu wa jimbo,awali mashahidi upande wa ccm walisemsema kua wao wamelipwa pesa sasa swali ni kua ccm hawana uhakika hata uchaguzi ukirudiwa nitaendeea kuwapa taarifa
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu heanding inakwaje CDM vs CHADEMA?sijaelewa hapo
   
 3. bepari1

  bepari1 Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ulitaka kumaanisha ccm vs chadema au?
   
 4. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  CCM watapatapa!
  Ila kiukweli Biharamulo wengi ni warundi tu! Kuna limzee limoja lirefu kama mlingoti wa umeme halina ndugu hata mmoja na lenyewe linajifanya eti ni litanzania.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba kweli ni ving'ang'anizi! Yaani karibu kila jimbo waliloshindwa 2010 na Chadema walifungua kesi ya kupinga ushindi wa wabunge wa CDM! Watanzania hatuna budi kuyaangamiza kabisa haya magamba sasa hivi.
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahaha!!!
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  utakuta ana cheti cha kuzaliwa
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  uripoti live
   
 9. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Tafadhali bahusika liheading lifanyiwe masahihisho!
   
 10. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa lakini jiitahidi kupanga kazi yako vizuri.
   
Loading...