Huku Vijijini ni Lowassa tu, vipi huko Mijini?

Huku Vijijini ni Lowassa tu, vipi huko Mijini?

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,073
Reaction score
6,639
Huku wilayani na Vijiji kila mtu ni Lowassa tu...... Watu wa kada zote wanasema kura zao ni kwa Lowassa!

Hata kwa makada wa CCM wanasema ubunge ni CCM ila urais ni Lowassa tu.

Nimeyajuwa haya kutokana na nature ya kazi yangu, napita vijiji vingi.

Ningependa kujuwa hali ya huko Mijini?.....nijuzeni!!!
 
Hata mijini ukawa ndo habari ya mjini kila kona kulingana na ninavyozunguka mijini dar Mbeya Arusha mwanza dodoma tanga morogoro kote ni Lowasa ccm hali yao tete
 
Mjini ni Magufuli tu

Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika leo kwenye Viwanja hivyo mjini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu hassan baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akimsalimia Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar leo. Wengine ni Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha
Mgombea Mwenza Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohamed Shein, katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo katika viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar.
Kijana wa Kimasai anayeishi Zanzibar, akishangilia kwa dhati wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Blal akimpongeza kwa hotuba nzuri Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi baada ya kuhutubia mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Dogo Aslay akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo Kibandamaiti mjini Zanzibar
Shabiki wa CCM akishangilia kiaina wakati wa mkutano wa kufunga kapnei za CCM uliofanyika leo kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar leo

Mgomea Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar.
 
Lowassa ni Kufuru huku Vijijini
 
lowassa ana nguvu sana vijijini na anasapotiwa na wana CCM Wengi huku vijijini
 
ww hta uweke picha za uchi za madada wa ccm hakna wa kchagua ccm
 
Huku wilayani na Vijiji kila mtu ni Lowassa tu...... Watu wa kada zote wanasema kura zao ni kwa Lowassa!

Hata kwa makada wa CCM wanasema ubunge ni CCM ila urais ni Lowassa tu.

Nimeyajuwa haya kutokana na nature ya kazi yangu, napita vijiji vingi.

Ningependa kujuwa hali ya huko Mijini?.....nijuzeni!!!

Kwetu mjini na vijijini ni Magufuli tu
 
Huku wilayani na Vijiji kila mtu ni Lowassa tu...... Watu wa kada zote wanasema kura zao ni kwa Lowassa!

Hata kwa makada wa CCM wanasema ubunge ni CCM ila urais ni Lowassa tu.

Nimeyajuwa haya kutokana na nature ya kazi yangu, napita vijiji vingi.
Ningependa kujuwa hali ya huko Mijini?.....nijuzeni!!!
w

Hata na uku mjini Lowassa mkuu. Nina picha moja apa naona nitakiuka maadili nikiiweka, ila nimewakuta askari police 3 wako off leo tunafahamiana, hivyo walikuwa wanapata kinywaji, mmoja kalewa wote wanaimba, tunaiman na Lowassa!!!! mmoja akanikaribisha bia, nikawaambia nakunywa maji tu wakati na mimi na piga maji ndo nikawachukua move, ndo nika amini kumbe na Jeshi la Police inaonekana wengine hawafurahishwi kwa kutopewa haki zao mapema.

Nime mnukuu mmoja anasema, Magufuli angekuwa na Ilani yake mwenyewe, tunge mpa kula ila ilani ya chama chenye mfumo mbaya maskin itamponza!!!!
 
Huku wilayani na Vijiji kila mtu ni Lowassa tu...... Watu wa kada zote wanasema kura zao ni kwa Lowassa!

Hata kwa makada wa CCM wanasema ubunge ni CCM ila urais ni Lowassa tu.

Nimeyajuwa haya kutokana na nature ya kazi yangu, napita vijiji vingi.

Ningependa kujuwa hali ya huko Mijini?.....nijuzeni!!!
Huku mjini ni Lowassa tuu., Ccm imetuchosha
 
yaan tunatofautiana matamshi tu...ni Lowassa tu
 
Malofa wote wanasema kesho ni siku yakwenda kuwalipia ADA watoto wao kwenye SANDUKU la KURA
 
Yani kama Dar tangu sa kumi mkutano umefungwa jangwani lakini mpaka sa moja hii watu bado wanapita kuelekea makwao mamia kwa mamia na kawimbo kao kale ka akina baba...... Lowasa
Akina mama.....Lowasa
Akina kaka....... Lowasa
Eeeeeee......... Lowasa
 
Back
Top Bottom