kuna binti mmoja tunasoma naye chuo kimoja hapa nchini tumeaza chuo mwaka 2011 sasa tuko mwaka wa tatu nilipo muona tukiwa mwaka wa kwanza nilimpenda sana lakin akaniambia yeye anamtu nakwakua mimi nilikuwa natafta mke nikaachana naye lakin kwa sasa anajitahdi kujenga mahusiano ya karibu sana ila nikimwambia kusudi anasema ninaharaka je? Nichukuwe hatua ipi
Mchukulie poa, kwani umeshajua kupenda noma, ukipenda umaweza kuchanganya Habari ya kupenda na Hoja mchanganyiko wa mapenzi na mahusiano na urafiki, ila kwa kuwa apataye mke apata kitu chema, vuta subira upate chema.
Mke hutafutwa kwa msaada wa maombi coz mabinti wa cku izi duuuuuh! ila sio kama unavosaka ww, najua ulitoka secondary ambapo hakuna mabinti wanaojua kutumia uzuri artificial sasa chuoni kumekuchanganya. Soma kwanza, mke mwema hutoka kwa BWANA.