chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
daah ..mkuu umenena aisee ..lkn Lumumba ndo wanaisoma zaidi ..maana hawakuizoea hii hali ...sasa hv Lumumba midomo kha wamepaka magadi [emoji13] [emoji125]KUISOMA NAMBA - 14/06/2016
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Hata wale waloimba, kuimba hawathubutu
Jukwaani walitamba, sasa waufyata fyatu
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Uwe wewe wa kijani, Au wa rangi fulani
Waisoma hadharani, wengine kwao rohoni
Namba hazionekani, Namba zingali gizani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Uwe wewe mpinzani, Au ndio mtawala
Namba hizi namba gani? Namba hazina usela
Waliimba jukwaani, Leo wanagalagala
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Sasa wote twaisoma, Na kila mtu kivyake
Wengine bado wahema , hajui hatma yake
Kusoma namba lazima, sasa hakuna makeke
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Yule ametumbuliwa, Kama jipu la kwapani
Yule hajatembelewa, atetema ofisini
Wakuu wamepagawa, kuchungu maofisni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Kuacha kazi wataka, wasije kutumbuluwa
Wamejawa Na mashaka, kichwani hawako sawa
Sasa waanza pigika, kupiga kumeng'olewa
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wapinzani waisoma, wabinywa wao uhuru
Sasa nao wanakoma, bunge halina uhuru
Halmashauri zasoma, wamepokanywa ushuru
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wale wa serikalini, hakuna tena mipango
Sio tena safarini, Na wala hazipo hongo
Maisha ya mtaani, hakuna tena maringo
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mtaani Kwa heshima, pesa haionekani
Vijana wanaisoma, wako hoi vijiweni
Punde watajalalama, hatuoni ahueni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wabunge wanaisoma, gawiwo kutozwa kodi
Wameshaanza lalama, "Hii sasa imezidi "
Wapo tayari kugoma, kodi sio Yao jadi
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Na wafanyabiashara, zingine wanazifunga
Waendesha Kwa hasara, Ni bora ya kuzifunga
Kupunguza mishahara, wengine kupigwa panga
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wale madaispora, hawakutaki nyumbani
Washaiona ishara, sio sawa Na zamani
Waweza kupigwa ngwara, mwishowe ukajilani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mimi Mwana Kigamboni, mimi Kama mshuhuda
Sikio Na zangu mboni, 'nazitune' kawaida
Malenga tangu zamani, kunena Ni yetu ada
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadaah ..mkuu umenena aisee ..lkn Lumumba ndo wanaisoma zaidi ..maana hawakuizoea hii hali ...sasa hv Lumumba midomo kha wamepaka magadi [emoji13] [emoji125]
Daah mkuu umetisha saana, hongeraKUISOMA NAMBA - 14/06/2016
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Hata wale waloimba, kuimba hawathubutu
Jukwaani walitamba, sasa waufyata fyatu
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Uwe wewe wa kijani, Au wa rangi fulani
Waisoma hadharani, wengine kwao rohoni
Namba hazionekani, Namba zingali gizani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Uwe wewe mpinzani, Au ndio mtawala
Namba hizi namba gani? Namba hazina usela
Waliimba jukwaani, Leo wanagalagala
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Sasa wote twaisoma, Na kila mtu kivyake
Wengine bado wahema , hajui hatma yake
Kusoma namba lazima, sasa hakuna makeke
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Yule ametumbuliwa, Kama jipu la kwapani
Yule hajatembelewa, atetema ofisini
Wakuu wamepagawa, kuchungu maofisni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Kuacha kazi wataka, wasije kutumbuluwa
Wamejawa Na mashaka, kichwani hawako sawa
Sasa waanza pigika, kupiga kumeng'olewa
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wapinzani waisoma, wabinywa wao uhuru
Sasa nao wanakoma, bunge halina uhuru
Halmashauri zasoma, wamepokanywa ushuru
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wale wa serikalini, hakuna tena mipango
Sio tena safarini, Na wala hazipo hongo
Maisha ya mtaani, hakuna tena maringo
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mtaani Kwa heshima, pesa haionekani
Vijana wanaisoma, wako hoi vijiweni
Punde watajalalama, hatuoni ahueni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wabunge wanaisoma, gawiwo kutozwa kodi
Wameshaanza lalama, "Hii sasa imezidi "
Wapo tayari kugoma, kodi sio Yao jadi
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Na wafanyabiashara, zingine wanazifunga
Waendesha Kwa hasara, Ni bora ya kuzifunga
Kupunguza mishahara, wengine kupigwa panga
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wale madaispora, hawakutaki nyumbani
Washaiona ishara, sio sawa Na zamani
Waweza kupigwa ngwara, mwishowe ukajilani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mimi Mwana Kigamboni, mimi Kama mshuhuda
Sikio Na zangu mboni, 'nazitune' kawaida
Malenga tangu zamani, kunena Ni yetu ada
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Waliimba kwa furaha,ssiem mbele kwa mbele,KUISOMA NAMBA - 14/06/2016
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Hata wale waloimba, kuimba hawathubutu
Jukwaani walitamba, sasa waufyata fyatu
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Uwe wewe wa kijani, Au wa rangi fulani
Waisoma hadharani, wengine kwao rohoni
Namba hazionekani, Namba zingali gizani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Uwe wewe mpinzani, Au ndio mtawala
Namba hizi namba gani? Namba hazina usela
Waliimba jukwaani, Leo wanagalagala
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Sasa wote twaisoma, Na kila mtu kivyake
Wengine bado wahema , hajui hatma yake
Kusoma namba lazima, sasa hakuna makeke
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Yule ametumbuliwa, Kama jipu la kwapani
Yule hajatembelewa, atetema ofisini
Wakuu wamepagawa, kuchungu maofisni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Kuacha kazi wataka, wasije kutumbuluwa
Wamejawa Na mashaka, kichwani hawako sawa
Sasa waanza pigika, kupiga kumeng'olewa
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wapinzani waisoma, wabinywa wao uhuru
Sasa nao wanakoma, bunge halina uhuru
Halmashauri zasoma, wamepokanywa ushuru
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wale wa serikalini, hakuna tena mipango
Sio tena safarini, Na wala hazipo hongo
Maisha ya mtaani, hakuna tena maringo
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mtaani Kwa heshima, pesa haionekani
Vijana wanaisoma, wako hoi vijiweni
Punde watajalalama, hatuoni ahueni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wabunge wanaisoma, gawiwo kutozwa kodi
Wameshaanza lalama, "Hii sasa imezidi "
Wapo tayari kugoma, kodi sio Yao jadi
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Na wafanyabiashara, zingine wanazifunga
Waendesha Kwa hasara, Ni bora ya kuzifunga
Kupunguza mishahara, wengine kupigwa panga
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Wale madaispora, hawakutaki nyumbani
Washaiona ishara, sio sawa Na zamani
Waweza kupigwa ngwara, mwishowe ukajilani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mimi Mwana Kigamboni, mimi Kama mshuhuda
Sikio Na zangu mboni, 'nazitune' kawaida
Malenga tangu zamani, kunena Ni yetu ada
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Mkuu usicheke ..ukikutananao ndo utajua na maanisha nn ...kuna yule chotara Wa kilosa anaitwa Abubakar yeke yeke ..mtera mwembamba ..dah aisee ..wamepauka kha kambale wa ziwa Rukwa ..hali zao mbaya hadi kujitoa ufahamu kumepungua aisee. ...hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimekupata mkuu, mimi kuna anko yy ni kijani damu lakini sasahivi baada ya kuanza kusoma namba kisawasawa naona ameanza kubadilikaMkuu usicheke ..ukikutananao ndo utajua na maanisha nn ...kuna yule chotara Wa kilosa anaitwa Abubakar yeke yeke ..mtera mwembamba ..dah aisee ..wamepauka kha kambale wa ziwa Rukwa ..hali zao mbaya hadi kujitoa ufahamu kumepungua aisee. ...
Mkuu ukiuimba huo wimbo kwa makada wa nyinyiem huku ukiwa na tabasamu , bc ujiandae kukwepa ngumi maana hawataki kuusikia kabsa . . kha ule wimbo huwa unakosesha raha aisee...kwa sasa c mbele kwa mbele tena bali ni kisengele nyuma ...au mgongo mgongo ...Udc nao umekuwa hausomeki...wale 43 waliobakia midomo imewapauka kinoma yani..na utahira umewatoka kabsa kabsaWaliimba kwa furaha,ssiem mbele kwa mbele,
Walicheza kwa maraha,Bila kuwa vihele hele,
Walifuata kijani raha,Kwa kusikia mbele kwa mbele
Huku kuisoma namba hakuchagui mti!!!!!
Namba twaisoma pia, bila ya mawani kuvaa,Waliimba kwa furaha,ssiem mbele kwa mbele,
Walicheza kwa maraha,Bila kuwa vihele hele,
Walifuata kijani raha,Kwa kusikia mbele kwa mbele
Huku kuisoma namba hakuchagui mti!!!!!
Namba tasa mkuu...lkn kwa sasa wameanza kuelewa kuwa walikosea kumkabidhi nchi ngosha ..mwenzao hakujiandaa jamani [emoji13] [emoji125]Namba twaisoma pia, bila ya mawani kuvaa,
Kwani maandishi ni makubwa, Yapasa kujivunia
Wake kwa waume pia, Wote tunajionea
Hakuna wa kulaumu, Huu muda umefika
Ni vizuri kujifunza, ili makosa kujua
Namba hiyo namba gani, Si shufwa wala witiri
asanteWaliimba kwa furaha,ssiem mbele kwa mbele,
Walicheza kwa maraha,Bila kuwa vihele hele,
Walifuata kijani raha,Kwa kusikia mbele kwa mbele
Huku kuisoma namba hakuchagui mti!!!!!
poa mkuuAsante kwa ujumbe mzuri
asante mkuuDaah mkuu umetisha saana, hongera
Teh teh teh ..nasikia ndo wabunge bora kuwahi tokea ndani ya Lumumba ...ccm bhanaKina Goodluck Mlinga, Livingston Lusinde, Juliana Shonza, Inocent Bashungwa, Agnes Marwa wala hawaisomi namba ndo kwanza wako peke yao mjengoni wakipigania kutokatwa viinua mgongo. NYIE TUU!!!