Huko Zanzibar...SIMBA 5 - GULIONI FC 0

Timu hata haijulikani wala haishiriki hata ligi kuu Zanzibar. Simba bhana!!
Hao Bocco na Mavugo bora muuze tu mnunue hata Mafuta ya MO ya kupikia.

JPM KAMATA WEZI
 
Hiyo gulioni ni tumu au nini? sijawahi hata kuisikia. au ni timu ya mtaa huko zenji?
 
Ushawahi kuisikia timu ya huko Morogoro, ya watoto wa chini ya miaka ishirini inaitwa Moro youth.
Ilicheza na Yanga fc. Mwezi huu wa nane 2017.

Matokeo yakawa
Yanga fc 5 Moro youth 0

Mbona hamulisemi hilo ?

Mnakazania matokeo ya Simba tu.
Ninyi wana Yanga.

Mbona sisi Simba sc hatusemi kama ninyi ?

Mkaimbe na taarabu basi.
 
Baada ya kuona forward ina ukame wa magoal katika mechi zote za majaribio Simba wameamua kuchukua timu ya wafanya biashara wa gulioni ili waifunge magoal mengi kujipa moyo
Ni kweli Simba imebidi ijipe moyo,
Hata tulipowafunga Yanga fc magoli mawili kupitia Mavugo na Kichuya katika mechi ya Ligi ya VPL, tulikuwa tunajipa moyo.
Na tarehe 23 tutajipa moyo pia.

Yanga anapofunga ni kawaida yake.
 
Pre season unaanza na timu ndogo kwenda juu ...Simba hawana fitness Coach wa mlandege kasema tofauti aliyoiona na Yanga..camp south kulikuwa na baridi Kali wachezaji walienda vacation na shopping
 
Pre season unaanza na timu ndogo kwenda juu ...Simba hawana fitness Coach wa mlandege kasema tofauti aliyoiona na Yanga..camp south kulikuwa na baridi Kali wachezaji walienda vacation na shopping
Kama kocha wa mpira kasema hivyo basi inawezekana ikawa kweli.
Simba inahitaji kujifua zaidi, ili kuwa fiti.
Ila kwa sasa ndani ya dimba Simba wanamiliki zaidi mipora kupita Yanga.
Shida iponkwenye ufungaji tu, bado haijapata wafungaji wazuri kama wa Yanga.
 
Timu hata haijulikani wala haishiriki hata ligi kuu Zanzibar. Simba bhana!!
Hao Bocco na Mavugo bora muuze tu mnunue hata Mafuta ya MO ya kupikia.

JPM KAMATA WEZI
Hahahahaaa! Najua imekuumiza sana ji-roho lako. Hivi unajua hii dozi hata Vyura fc waliipata hadi wakatabasamu kwa huzuni. Unawafahamu Vyuuuuuraaaa!!?
 
Back
Top Bottom