Huko ni kwa mme wangu!

Huo sio uzinzi maana sijaoa,ungesema niache uasherati hapo sawa. Yule mwanamke ndio mzinzi maana ameolewa. Mimi ni uasherati. Alafu uasherati sio dhambi,hauko kwenye amri kumi za makatazo ya Mungu.

Una matatizo wewe si bure, je hukusoma imeandikwa...

1 Wakorintho 6:9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti



Waebrania 13:4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
 
Watu8 umemaliza points zote, jamaa hana pakufichia uasherati wake . Barikiwa sana kwa muongozo wa maandko matakatifu.
 

Kwa kweli hakufanya vizuri,au inawezekana ameweka hiyo kwenye kundi la N.k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…