Huko ni kwa mme wangu!

Eti ulianza "maandalizi ya kumpeleka kibla"
Ulikuwa unamchinja mke wa mtu?
 
Safi sana uwe unawageuzia KIBLA hivyo kama mimi lazima niwageuzie KIBLA.
 
"Ahaaaaa unafikiri hauwezi kupata ukimwi kwa kukaa na familia yako mkiangalia TV? ... ​siku hizi hata wanawake wana michepuko"
 
Sasa hilo neno kibla lilikuwa na ulazima gani? Tafsidaa zote umeona hio ndo imetoshea?

Kuangalia qibra ni kukubali kuchinjwa, demu kama kakuvulia nguo ili umle kwa kiarabu tunsema kaangalia qibra, uko na sawli jingine
 

siku nyingine usifakamie tu ukazani ni maziwa nyingine Zanzi oooh. kakuepusha na dhahama,Wapi corner Bar
 
Unless unamjua huyo msichana...wanawake sikuhizi wanapaka madawa ya kulevya/sumu kwenye maziwa....ukilamba tu unapigwa na usingizi wa hatari...anachukua kila kitu (hadi nguo). Ukiamka unajikuta hospitali na mkewako kasimama pembeni.

Asante kwa ushauri mkuu.
 

Umevurugwa.. Ukitaka kuchanganyikiwa duniani wewe fuatilia vitu vidodo vidogo vya kijinga,lazma mwisho utakua chizi.
 
Tunaoa tu kuwafurahisha wazazi, otherwise I'd rather remain single!! Unaona mke wanakuchapia tu..aah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…