ezekia ngailo
Member
- Nov 1, 2015
- 40
- 21
[emoji2][emoji2]mkuu umekula Cha Njombe Nini...kimekuvuga
mbeyaKwenu wapi mkuu?
kwann mkuu[emoji2][emoji2]mkuu umekula Cha Njombe Nini...kimekuvuga
Haaaaaa haaaaaa. ! Mungu nifundishe kunyamaza !!siku ya pili sasa huku mtaana kwetu naona viongozi wa mitaa na wananchi et wanaandikishana nilivyouliza wanasema kuna hela zinatolewa na nchi za nje so kila kaya itagawiwa hizo pesa mimi nimeshindwa kuelewa kwel kuna nchi inataka kugawa hela?
Buku kumi 🙄 Wapo serious kweli? Ni afadhali wangezitumia kutatua changamoto nyingineMkuu,, sio wanataka kugawa hela,,, Kuna hela za Kaya,,, kila nyumba buku kumi ni mapato ya serikali, mi nipo mbeya nimeona Hilo swala toka juzi,,,
kwann mkuu
[emoji23][emoji23]aiseeh apa ni pesa taslimuNahisi zile Pesa za Acacia zimetoka Mkuu Jiandae kuchagua kati Ya Toyota Noah Au Pesa taslimu.
Yaani serikali hii hii inayokamua wananchi wake kwa Kodi mpaka za kupenga kamasi, leo hii umeamka mtaani kwenu wanagawa pesa!!!!?[emoji2][emoji2]
Buku kunipa [emoji849] Wapo serious kweli? Ni afadhali wangezitumia kutatua changamoto nyingine
bora iwe hvyo nimekuta watu wamekusanyika wanaandikisha nikajisemesha wabongo tunapenda vya bure ndomana huwa wananunua na kula zetuHaaaaaa haaaaaa. ! Mungu nifundishe kunyamaza !!
[emoji23][emoji23]aiseeh apa ni pesa taslimu
hawawez toa noah hawaMkuu hutaki Noah.
Kumbe Cha nkombe Ni kivuruge? [emoji39][emoji39] Sikionji[emoji2][emoji2]mkuu umekula Cha Njombe Nini...kimekuvuga
hakuna ktu kama hchoKumbe Cha nkombe Ni kivuruge? [emoji39][emoji39] Sikionji