Huko kwenu vipi jamani mimi huku kwetu naanza kuzoea haya maisha ya kuishi bila WhatsApp, Facebook, YouTube, Telegram saivi na enjoy tu hapa Jamiiforums😂
Mi kuna jamaaa huku kijijini kwetu igowile ameniekea kwenye simu kwa elfu 80 huwezi amini hapo amenipunguzia alikuwa anataka laki sahivi naperuzi tu bila shida yoyote
Mi kuna jamaaa huku kijijini kwetu igowile ameniekea kwenye simu kwa elfu 80 huwezi amini hapo amenipunguzia alikuwa anataka laki sahivi naperuzi tu bila shida yoyote
Kutumia VPN kwenye hii serekali ya CCM ni kosa la jinai,unatafuta kwenda jela wewe siyo bure.Serekali ya CCM ilishapitisha sheria ya kukataza VPN Tanzania
Mi kuna jamaaa huku kijijini kwetu igowile ameniekea kwenye simu kwa elfu 80 huwezi amini hapo amenipunguzia alikuwa anataka laki sahivi naperuzi tu bila shida yoyote
Kutumia VPN kwenye hii serekali ya CCM ni kosa la jinai,unatafuta kwenda jela wewe siyo bure.Serekali ya CCM ilishapitisha sheria ya kukataza VPN TanzaniaView attachment 1616065
Watanishikia wapi na VPN inatunza privacy yangu hapo utakuta hata ip adress wanaipata ya seoul japan wakati mi npo manzese wafungue Internet sio wakataze halafu ndo hivo wanatufungia
Huna akili za kufikiri!Magufuli anasubiria aapishwe afute internet pamoja na matumizi yote ya mitandao ya kijamii Tanzania.Suluhisho pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa jasho na damu.