Huko kwenu bei ya sukari shingapi kwa kilo?

Huko kwenu bei ya sukari shingapi kwa kilo?

Nauliza kwa sababu kabla mh hajatoa tamko ilikuwa 1900 sahivi ni 2300.
Mambo ya SUKARI ukiyataja tu nadhani Ndugu Kassimu anapata presha hana hamu nayo kabisa..by the way huku nilipo Kondoa kilo ni 3500 hadi 4000
 
Back
Top Bottom