Mamndenyi
Usiwe na wasiwasi wewe ni PM gharama tu fundi utamtafuta mwenye; huku hatuvai khaki kama mgambo city mwanamke kupendeza! Tangu khaki ikampendeza mtu zaidi ya kunukishana vikwapa; mambo ndiyo hayo shurti upendeze kwa nafasi yako.
cc Ritz
Kamanda tunafanya kazi halali; maisha ni kujishughulisha wewe kama huna shughuli sema usaidiwe mapori yapo mengi kilimo kinalipa! tukutumie kwa njia ipi!