technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,560
- 57,885
Kumbuka mwanahalisi lilivyo tumika utawala wa kikwete kuelezea wizi wa Lowassa bila kumuweka kikwete wakati wote majizi ..
Ulikuwa ni mkakati wa kikwete kumdhoofisha Lowassa wakati anajua dili walipiga wote ili lowassa asiwe tishio la Urais mwaka 2015 na ikafanikiwa ...
Bila kuondoa mamluki ndani ya upinzanzani dola waisahau.
Chief nimeshare tu, mimi sio mwandishi. Habari hii imeandikwa na Jasusi bobezi linaloishi Uskochi.