Mkuu mimi sina uhakika kama wamekwenda, maana hii ni email nimetumiwa na swahiba wangu.Mkuu Moi amejaribu Kwenda?
Wengine tuko tayari kuchangia.
Peace & Love
Respect.
Watu wengine hacheni kutania maisha ya watu. Huyu binti anaumwa na anaitajika kufanyiwa operation na hana pesa za kumwezesha kufanyiwa operation, wewe unamwambia aende kupiga kikombe.Angejaribu kwenda kupiga kikombe pengine kinaweza kumsaidia. ajaribu na kwenda kwnye vyombo vy habari kuomba msaada.ni hayo 2.
Angejaribu kwenda kupiga kikombe pengine kinaweza kumsaidia. ajaribu na kwenda kwnye vyombo vy habari kuomba msaada.ni hayo 2.
Umethibisha kuwa si kweli?Tutathibitishaje kama ni kweli? Hali hiyo inasikitisha sana hasa kama wewe mzima na unaona mwenzio anaumia. Moyo wa kutoa chochote ili kumsaidia tunao,lakini naogopa zisije ishia mikononi mwa wajanja maana watu hamuamiki c wakati wa matatizo wala wa furaha.
Tutathibitishaje kama ni kweli? Hali hiyo inasikitisha sana hasa kama wewe mzima na unaona mwenzio anaumia. Moyo wa kutoa chochote ili kumsaidia tunao,lakini naogopa zisije ishia mikononi mwa wajanja maana watu hamuamiki c wakati wa matatizo wala wa furaha.