Huhuuuu..Its my birthday [emoji512]

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,733
51,277
Habari ya jumapili familia ya Jf.i hope jmosi ilikuwa poa sana kwa kila mtu si ndio eee..eheee maana ukishakuwa na uzima na afya kila kitu kitawezekana tu.

Jaman leo ninafuraha sanaaaaaa kuliko kawaida.maana ilikuwa ni siku kama ya leo na tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita mama yangu kipenzi alimleta Chakorii duniani na kuongeza furaha ya familia.asante Mungu wana na asante mama na baba yangu kwa kunileta duniani.najua kuna kusudi la mimi kuja katka hii duni.

Mtoto huyu anaongea hatar kho!!!ndg zangu karibuni sana uwanjani kuna maboga,magimbi,mihogo,viazi mbatata,maharage,mbege,chang'aa, balimi,yani mambo ni mengi kwakweli.karibuni sna.

HAPPY BIRTHDAY Chakorii, ila sasa huyo mama aliyekupa hilo jina,,,, huku kwetu Tarime / Rorya halina maana nzuri :p :D

Asante sana mkuu.kuhusu jina bhana...lazima lisiwe na maana nzur kwa upande wa kabila fulani.ila mama angu ndo alilipenda hilo mkuu.ulishawahi kusikia "nantombee sa"au ulishawahi sikia hii "mamboroo"najua utazima simu ukijua kuwa ni matusi.tulia mkuu kila jina la mtu la asili upande wake unamaana kubwa tu ila upande wa mwingine linamaana mbaya
 
Namfahamu naantombe Mushi.... hahahah,
 
Happy birthday chakoriii. May you live long and blow a lot of candles
images(5).jpg
 
Umezaliwa siku moja na baby wangu.

Ndo tunaandaa vinywaji na makulaji hapa. Au ndo wewe nini?
 
Happy Birthday Mkuu. Ujaaliwe maisha marefu na yenye furaha duniani. Kumbuka kulitimizo kusudio la weww kuendelea kuwa hai.

Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom