Hugo Chavez: WE LOVE AFRICA

Mi ndo mana hili jembe nalikubali kinyama, asije kufa na hiyo cancer he's still needed, except kaniacha hapo alivorelate katrina na racism, katrina was a flood to my knowledge how come inahusishwa na racism i also heard kanye west akim blame bush kwa ile issue, hii inakuaje kuaje mazee. Mbuzi unajua au ume upload tu pctr
 
CIA wamelitenda jembe hili ndivyo sivyo. We love u too Chaves.
 

Mkuu kuna uhusian mkubwa sana kwa jinsi Bush alivyo wafanya Waafrika wa kule New Orleans. Yaani kichaka alichukua siku kadhaa kwa yeye kufanya na kutumia ukuu wake kama Kamanda Mkuu. Zaidi ya hapo aliwaambia kwanini Waafrika wanalia lial kwa kitu kidogo kama hicho. Hivi ni kweli Katrina ilkuwa kitu nkiidogo au kwa vile kule kulikuwa na Weusi wengi?

Angalia hizi sites ndani ya hii hapa: What Katrina Teaches about the Meaning of Racism
 
Jembe kwa sababu ya kujinasibisha na uafrika? sera za kijamaa bila kutumia akili huleta maafa/
 
@ Abdulhalim

huyu ana damu ya kiafrika pia , kwa hiyo anaweza kujidai na kujigamba kutokana na kuwa ana damu ya kiafrika !!!
 
Labda ndio yupo Cuba wanajadiliana na Castro,wanaambiana,those Africans must not let us down.They must give the white man a severe thrashing''
 
@ Abdulhalim

huyu ana damu ya kiafrika pia , kwa hiyo anaweza kujidai na kujigamba kutokana na kuwa ana damu ya kiafrika !!!
Of coz nafahamu kua baba yake ni muafrika, ujumbe wangu upo mbali zaidi/
 
Labda ndio yupo Cuba wanajadiliana na Castro,wanaambiana,those Africans must not let us down.They must give the white man a severe thrashing''

Without White man's aid, Africans go back to the stone age. Chavez, Castro are hypocrites, why? There are a lot of downtrodden African people in Latin America why not deal with that first?

 
Last edited by a moderator:
Huwa silikubali hili lijamaa Dictetor na roho la madaraka halina tofauti na Museven katiba lilichange liendelee kuwa raisi then lina maneno machafu na pia walatin ni wanafiki kwa maneno yao hawapendi ngozi nyeusi na hutuita ma negro.... na pia hulithishana kuchukia waafrica hawana lolote waende hell tu pamoja na Suarez wao
 

uwezo wako wa kufikiri na kuanalyse things ni mdogo sana!!
 

Hata Mandela walikuwa wanamuita hivyo,,wewe kwanini hujiulizi kwanini wamarekani wanahaha kuondoa roho yake, na nini kilitokea Cuba,,cha msingi elewa once una maliasili nyingi kama gesi, mafuta, madini ardhi nzuri ya kilimo, ukikataa kwenda jinsi Wamarekani wanavyotaka lazima wakuondoe duniani kwa garama yoyote

Mchana mwema
 
f**k the latinos,gringos and all wazungus...these guys wanatuonaga sie ka
the curse of homo sapiens existance...
Mungu ashukuriwe kwa kutoa hewa bure wangeshatunyang'anya hata
pumzi...
 
hakuna anayetupenda sisi waafrica hizo mbwembwe tu kwanza hata sisi hatupendani wenyewe kwa wenyewe angalia civil wars kila kona tunachinjana ama kisa dini au ukabila.
Hawa weupe na wale wote ambao chimbuko lao ni africa lakini wana element za uzungu hawaipendi afrika wanasema tu....
 
Niliwahi tembelea venezuela ila huyu jamaa hafai kabisaaa kaharibu nchi balaa wao watu wake wanalal njaa hosp huduma mbovu kushinda bongo na ukiwa na dola au euro unapeta sana heheee ila unaweza poteza uhai watu wakikuona na ki blackberry chako heheee endeleeni kumpenda lolz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…