Huenda yaliyomkuta babu seya yakamtokea dimond!

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona daimond na mama yake jioni wakielekea kwake.Juzi kati nikashangaa tena kumwona wema mbali kidogo na kwa yule babu kumbe alikuwa anamngojea dimond ambae kwa wakati huo alikuwa anang'arishiwa nyota yake! Wasiwasi wangu ni kuwa hunda yaliyomkuta babu seya yakamkuta dimond kwani hawa wa ganga mara nyingi huwa wana masharti magumu sana.Babu seya walimpa sharti la kulawiti watoto ili azidi kuwika sasa daimond sijui hajajifunza.
 
Acha mawazo mgando wewe!!. Kwanini umuwazie mwenzio mabaya.
 
Jivi kubwaaaaa!!!!
 
huwezi jua labda maganga atampa sharti la kuwa anatuupia kamba kwa bibie wema kila siku..................kitu amabacho hakitamfanya akaozee jela
 
Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona daimond na mama yake jioni wakielekea kwake.Juzi kati nikashangaa tena kumwona wema mbali kidogo na kwa yule babu kumbe alikuwa anamngojea dimond ambae kwa wakati huo alikuwa anang'arishiwa nyota yake! Wasiwasi wangu ni kuwa hunda yaliyomkuta babu seya yakamkuta dimond kwani hawa wa ganga mara nyingi huwa wana masharti magumu sana.Babu seya walimpa sharti la kulawiti watoto ili azidi kuwika sasa daimond sijui hajajifunza.
ale kwambia babu sea alipewa sharti la kulawiti wa toto na mganga nani??!! usiongee kama umemezeswha mijusi!!
 
Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona daimond na mama yake jioni wakielekea kwake.Juzi kati nikashangaa tena kumwona wema mbali kidogo na kwa yule babu kumbe alikuwa anamngojea dimond ambae kwa wakati huo alikuwa anang'arishiwa nyota yake! Wasiwasi wangu ni kuwa hunda yaliyomkuta babu seya yakamkuta dimond kwani hawa wa ganga mara nyingi huwa wana masharti magumu sana.Babu seya walimpa sharti la kulawiti watoto ili azidi kuwika sasa daimond sijui hajajifunza.

We vp! Nilifikiri unaandika kitu cha maana kumbe upupu!
 
katika dunia na karne hii kuna watu wanaamini mambo ya kung'arisha nyota ? ulivyoongea inaonyesha nawe umeamini ujinga huu,kama kweli anaweza huyo mganga angeng'arisha zake na kuhama huko anakokalia Kigogo kwa nyuma.
 
labla kaenda kumtuliza mtarajiwa wake asiendelee kugawa peremende hovyo...
 
Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona daimond na mama yake jioni wakielekea kwake.Juzi kati nikashangaa tena kumwona wema mbali kidogo na kwa yule babu kumbe alikuwa anamngojea dimond ambae kwa wakati huo alikuwa anang'arishiwa nyota yake! Wasiwasi wangu ni kuwa hunda yaliyomkuta babu seya yakamkuta dimond kwani hawa wa ganga mara nyingi huwa wana masharti magumu sana.Babu seya walimpa sharti la kulawiti watoto ili azidi kuwika sasa daimond sijui hajajifunza.

labda amepewa mdoli wa kumla vitu. Waganga wanabadilika sana
 
katika dunia na karne hii kuna watu wanaamini mambo ya kung'arisha nyota ? ulivyoongea inaonyesha nawe umeamini ujinga huu,kama kweli anaweza huyo mganga angeng'arisha zake na kuhama huko anakokalia Kigogo kwa nyuma.

Hahahahhahahahhh!! jamani humu mtu hata kama mtu una matatizo utayasahau tu.... mi nacheka saaaanaaa!!
 
Gumzo la barazani. Linapitisha muda na kama pembeni una.... basi dunia inasimama, jua halizami !!!
 
Back
Top Bottom