Mkubwa Jalala Senior Member Joined Mar 21, 2012 Posts 112 Reaction score 23 Oct 8, 2012 #1 Wana chit chat naomba munielekeze jinsi ya kuweka picha kwenye profile yangu, samahani kama uwanja huu hauusiki ila hata mwenyenyumba huosha vyombo housegirl akisafiri.
Wana chit chat naomba munielekeze jinsi ya kuweka picha kwenye profile yangu, samahani kama uwanja huu hauusiki ila hata mwenyenyumba huosha vyombo housegirl akisafiri.