Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii.
MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??
(1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,
(2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.
(3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.
(4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.
(5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.
(7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.
(8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.
(9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.
HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS
Ally Salum Hapi
MKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM
University of Dar es Salaam
Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.
My Take:
Huyu na yeye anajiita ni Msomi.
Tusubiri tume iliyoundwa ila ki2 kimoja najiuliza, mbona nimemsikia SLAA akisema baada ya kukaa kikao na IGP imeundwa tume na mwakilishi wa CDM akamtaja kuwa ni MAKENE, lakini navyo juwa MAKENE ni mwandishi wa habari inakuwaje anawakilisha CHADEMA? siasa bwana ki2 kingine zimewateka hadi waandishi wa habari, kumbe kuongea kote kule jana MAKENE alkuwa anapalilia kuteuliwa kwenyea tume tena kama mwanasiasa na siyo mwandishi wa habari?
camerone huyooo
Lilimlenga Daudi na waandishi wa habari wengine watakao Tangaza matukio ya Chadema in a positive way. Waandishi wa habari wajifunze kutoka kwa waandishi wenzao wa Habari leo, Michuzi blog, nk
Hao waandishi wengine wana nini cha muhimu cha kuwafunza wenzao??