OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,740
- 9,478
Okra magic jana "KAPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI" kifuti, ni baada ya kutaka kujaribu kugombania mpira wa juu, aliye mpiga ni mchezaji wa "KIKOSI MAALUMU CHA VALANTA ZANZIBAR"
Alipoteza fahamu baada ya tukio lile nadhani sababu hakuweza kunyanyuka wala kutembea, alibebwa kwenye machela, hakurudi uwanjani, alifanyiwa sub ikumbukwe aliingia kwa sub, sub juu ya sub.
Hapa unapata picha aliumia pakubwa, hakutokwa na damu maana yake kaumia kwa ndani, alipigwa kwenye paji la uso, ubongo wa mbele uliumia? jibu linaweza kuwa ndio kwa sababu hakuweza kunyanyuka wala kutembea, endapo itakuwa kweli basi tegemeeni mambo magumu kiufupi maombi yanahitajika lile tukio ni kubwa sana japo kuwa wengi hamkulichukulia serious.