Si umeshaona kilio mlicho nacho? Ni senseless, hakuna namna chama tawala, ambacho kina dhamana na maisha na maendeleo ya taifa, kikawa kina scan matusi, ambayo kimsingi sijayaona kwenye hoja nyingi wanazotoa; ni suala la vidonge mnavyoshindwa kumeza, ndio mnaita matusi. Mnalia lia kutukanwa na mkiulizwa mfano wa tusi, mnaanza kujizungusha, siasa za kuoneana huruma au kutafuta huruma zilishakwisha, mmejenga jamii radical wenyewe, ngojeni show. Mlidhani mtachekewa chekewa na ule ujinga wa mila na desturi, sio?