Huduma za Ushauri kwa masuala ya kijamii

Huduma za Ushauri kwa masuala ya kijamii

meccy

Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Habari zenu wana jf, poleni na majukumu.
kuna huduma nyingi za kitaalamu tunazo ndani ya jamii zetu ingawa wengi hatuzifahamu. Nilikuwa na tatizo ambalo lilinipelekea kuwa na msongo wa mawazo lililosababisha utendaji wangu wa kazi kushuka, ndipo nilipokutana na kijana mmoja na kunipa mawasiliano ya wataalamu wa ushauri.

Niliwasiliana nao na nikapata maelekezo ya kufika ofisin kwao ilala amana. Nilikutana na mtaalamu nakumueleza shida yangu. Kwa kweli nilipata huduma nzuri na mpaka hivi sasa nimeweza kurudi katika hali yangu ya kawaida.
Jambo lililonifurahisha, hawa jamaa wapo mobile wanakufuata hata ofisin na pia sehemu ambayo utakuwa comfortable. Gharama zao kwa session ni 10,000/ na kwa wasio na uwezo wa kulipa ni bureee.

Mawasiliano yao salhaamir@gmail.com
 
Back
Top Bottom