G Gis expert Member Joined Jan 11, 2014 Posts 28 Reaction score 6 Mar 4, 2014 #1 Habarini wana Jf, Napenda kuwakribisha watu wote ambao wanahitaji kupimiwa viwanja vyao kwa gharama nafuu ili kuongeza thamani ya viwanja vyao, kwa yeyote aliye atakaye hitaji tafadhali aniPM tufanye mazungumzo. Asanteni!
Habarini wana Jf, Napenda kuwakribisha watu wote ambao wanahitaji kupimiwa viwanja vyao kwa gharama nafuu ili kuongeza thamani ya viwanja vyao, kwa yeyote aliye atakaye hitaji tafadhali aniPM tufanye mazungumzo. Asanteni!
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,250 Mar 4, 2014 #2 cv yako please!
M Mento wa Magogoni Member Joined Nov 13, 2011 Posts 36 Reaction score 10 Mar 5, 2014 #3 Tuma cv ndugu,na mob contacts itakua rahisi sana.