Huduma za Mitandao ya Simu

Ossasso

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
12
Reaction score
0
Mitandao ya simu Tanzania kucharge wateja wake kwa njia ya vifurushi wakati coverage katika mitandao yao sio nzuri, Wakati mwingine muda wa kifurushi unakwisha kabla ya mteja kuweza kutumia hata 50% ya kifurushi hasa vifurushi vya data. Mtandao uakuja unaondoka. Hili sio JIPU? :lock1:
 



Hamia halotel mkuu japo nao ni walewale ila kiasi fulani wapo poa
 
Tuache maskhara hili ni jipu kubwa sana yaani tunaliwa kama serikali haipo vile au kwa kuwa wakubwa wana maslahi huko? Mzee wa majipu halioni hili jipu limeoza na linanuka!
 
Hasa tIGO, pia umesahau kusema simu zinamaliza sana charge kutokana na searching......ya muda mrefu inayosababishwa na kusuasua kwa mtandao wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…