Huduma za kutengeneza na kurepair sofa

Huduma za kutengeneza na kurepair sofa

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
40
Tunatengeneza na kurepair sofa.....
Tunapatikana
Dar es salaam, sinza makaburini na
Mtwara,Gezaulole (na 47 street),Zambia road.

Karibuni
 
Attachments

  • 1408621203730.jpg
    1408621203730.jpg
    15.8 KB · Views: 1,010
  • 1408621240977.jpg
    1408621240977.jpg
    9.7 KB · Views: 899
Tunatengeneza na kurepair sofa.....
Tunapatikana
Dar es salaam, sinza makaburini na
Mtwara,Gezaulole (na 47 street),Zambia road.

Karibuni

mkuu kochi wa watu wawili kutengeneza inaanzisha bei gan
 
Nataka Unitengenezeee.....kwa kutumiaA soft laizer hiyooo kiti hapo na kwa kutumiaaa mbaooo.....unawezaaaa
 
Attachments

  • 1408638737042.jpg
    1408638737042.jpg
    22.6 KB · Views: 423
mbona bei iko juu sana kwa kochi ya magodoro, la kukaa wawili laki nne?!![/QUOTE

Ni kweli,ukiitaja laki nne ni kubwa bt ni ndogo kulingana na product yenyewe.

Pia unaweza kupata hata kwa laki 2 ila kwa matirio mbovu so hutofurahia.

Kwa showroom kubwa kama KEKO,LIFEMATE nk, bei ziko juu zaid but quality ya product kwetu inaweza kuwa zaidi.

Kuna watejawangu humu jf so wanaweza kuthibitisha kama watauona uzi huu.
 
sawa, lakini za lifemate hauwezi kulinganisha na za magodoro dodoma!
 
Na ndio maana wanauza bei mara 2 ya sisi wa mtaani.
But na hakika quality ya product zinaendana, tofauti ni bei

Mfano picha hizi....
Ya kwaza ni ya lifemate
Ya pili ni mimi nauza 1 milioni hadi laki 9
 
Attachments

  • 1408691731948.jpg
    1408691731948.jpg
    12 KB · Views: 608
sawa, lakini za lifemate hauwezi kulinganisha na za magodoro dodoma!

Na ndio maana wanauza bei mara 2 ya sisi wa mtaani.
But na hakika quality ya product zinaendana, tofauti ni bei

Mfano picha hizi....
Ya kwaza ni ya lifemate
Ya pili ni mimi nauza 1 milioni hadi laki 9
 
Picha ya kwanza ni mimi

Picha ya pili ni lifemate
 
Back
Top Bottom