Huduma za changudoa

Yaani tunavyoshauriana ujinga humu, kama tungeshauriana kwa wingi ili kuliondoa lidubwana linaloitwa CCM tarehe 25, tungekuwa mbali sana.
 
Yaani tunavyoshauriana ujinga humu, kama tungeshauriana kwa wingi ili kuliondoa lidubwana linaloitwa CCM tarehe 25, tungekuwa mbali sana.

Kazi na dawa mkuu, mbona nyinyiem wameshaondoka hao. Ukiona mtu mzima ameacha kunadi sera anaongelea mwili wa mtu mwingine huyo ni wa kuhurumiwa kama Matonya.
 
Nikiwa Kama Mchungaji, Namkea Mtoa Post,na Iyo Mada Naifuta Kwa Damu Ya Yesu, Ninaua roho Ya Uzinzi Ilyo Kwny Mada Kwa Jina La Yesu Kristo.

Nakuona Mchungaji umeingia huku kusaka kondoo au vipi?
 

Ukweli wengi huwa wanaukubali kimoyo moyo hadharani utawasikia wakikashifu .
 
daah,,nimetoka kupga lakin cjafaidi demu kanipeleka kwenye gest iko ndai hapa kona baa lakini chumba kilikua na harufu ya kinyesi balaa
 
Aiseee hii ni bonge la biashara wakati ule naanza kutoa wazungu nimewanunua sana mitaa ya Kimboka buguruni.
 
wewe usituhalalishie laana kwny taifa jst b.coz ni pesa bac hata za kishetani zipokelewe ingekuwa mdogo ako anajiuza je ungepigia debe?kama huna la kuongea hata kukaa kimya ni busara pia.
 
Hi I nchi pia inaendeshwa kwa misingi ya dini inaonekana ww ni kahaba pia
 
Hiyo ni kitu ambacho haikubaliki kwenye jamii. Vp mkeo akitaka kwenda aongeze kipato cha familia utamruhusu? nijibu.
 

Wewe endelea kujiuza tu huku ukisubiri nguruwe awe safi kwa muislam. Serikali haihitaji pesa haramu ili kuwalipa mishahara watumishi wake ambao wengi wao ni wacha-Mungu.

Huo ushoga na ukahaba wako ndio ulipelekea nchi za sodoma na ghomora kushushiwa laana iliyosababisha maangamizi.
Ninyi ndio HIV+ mnaotafuta wa kuwaambukiza, hivyo mnataka mmpewe uhalali ili muendelee kuwasambazia wengine.

Haiingii akilini eti ukahaba uhalaishwe kwa kuwa tu bado unafanyika! Kama ndivyo, je hata biashara ya madawa ya kulevya ihalalishwe kwa sababu watu bado wanaifanya kwa kificho?
 
kabla hatujahalalisha...wenye ukimwi wote wawekewe alama
 
unaenda kumnunua binadamu mwenzio!!!? sio fea kabisa, unaweka gap kati walionacho na wasionacho.... tafuta wako mtulizane
Sio kununua bali kukodi.. Emu jaribu kuijustify "mahari" kama kweli unataka kuongelea kumnunua binadamu mwenzio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…