Huduma za Catering

jembe_jembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
214
Reaction score
81
Habarini za asubuhi wana jamvi.

Nlikua nauliza huduma za catering kwenye masherehe siku hizi zina range kwenye Tshs. ngapi per plate. Na sahani extra za emergency zinakuja ngapi na hiyo package?

Ahsante.
 
wasiliana na hawa watu wanaitwa BK Catering na wako vizuri base on chakula na price. 0717651664
 
Range ni we mwenyewe how do you want your plate to be! Cha 7k kipo, 20k kipo, 50k kipo, 100k kipo, 5k kipo pia! Ni weweeee tu na how deep does your wallet go dear
 
Range ni we mwenyewe how do you want your plate to be! Cha 7k kipo, 20k kipo, 50k kipo, 100k kipo, 5k kipo pia! Ni weweeee tu na how deep does your wallet go dear

Nashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…