Takribani miezi miwili sasa huduma za kibenki ya NBC tawi la mtwara zimekuwa ni kero na usumbufu mkubwa kwa sisi wateja wao tunaotegemea huduma toka kwao.Lakini kwa mshangao mkubwa wakati hali hii ikiendelea hamna taarifa au jitihada zozote zinazofanywa ili kutatua hali hii. Unaweza ukafka ndani ukakuta foleni ndefu huku matela wamekaa bila ya kusema chochote na aktokea mtu kuuliza kulikon hapo?huambiwa mtandao hamna! Wakati watu wameshakaa hapo masaa kadhaa. Na ukienda kwenye ATM nako ni hivyoivyo. Naomba uongozi utoe taarifa mapema pindi hali hii ili tuokoe muda. Vinginevyo ukimya wenu utawaghalimu.