Kwa hakika huduma za Azam Tv zimekuwa na mapungufu mengi, ukiachia kutoonekana mara kwa mara kukiwepo na mawingu. Bado huduma zao mfano huduma kwa wateja wanapopigiwa simu hawapokea, huduma mpya ya Azamtv Max ndio balaa wanapokea fedha za wateja kwa wale wasio na ving'amuzi na bado hakuna huduma. Na hata kwa wenye ving'amuzi bado hakuna huduma pamoja na kuwa malipo yanafanyika na hawana tatizo katika upokeaji wa fedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app