S sem2708 Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,941 Reaction score 5,149 Nov 26, 2019 #1 Hello wakuu, kuna hii huduma ya salary advance CRDB. Imesitishwa? Ama ina tatizo gani? Maana unaomba mkopo siku tatu uko pending, kwanini? Wahusika hebu pitieni hapa okoeni jahazi huku.
Hello wakuu, kuna hii huduma ya salary advance CRDB. Imesitishwa? Ama ina tatizo gani? Maana unaomba mkopo siku tatu uko pending, kwanini? Wahusika hebu pitieni hapa okoeni jahazi huku.
H hito JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 501 Reaction score 917 Nov 26, 2019 #2 sem2708 said: Hello wakuu, kuna hii huduma ya salary advance CRDB. Imesitishwa? ama ina tatizo gani? maana unaomba mkopo siku tatu uko pending ... kwanini? wahusika hebu pitieni hapa okoeni jahazi huku... Click to expand... Mwisho wa mwezi huwa inasumbua sana subili siku mbili mbele nazani mambo yatakuwa sawa tu
sem2708 said: Hello wakuu, kuna hii huduma ya salary advance CRDB. Imesitishwa? ama ina tatizo gani? maana unaomba mkopo siku tatu uko pending ... kwanini? wahusika hebu pitieni hapa okoeni jahazi huku... Click to expand... Mwisho wa mwezi huwa inasumbua sana subili siku mbili mbele nazani mambo yatakuwa sawa tu