tanganyika yetu
Member
- Nov 23, 2011
- 45
- 17
Mkuu tumieni PAYONEER ni huduma nzur sana pesa yako inakuwa kwnye account yako y payonner na unaweza kuitoa popote kwenye ATM inayoruhusu Master card
kwa maelezo zaidi ingia kupitia link below!
Payoneer | Refer A Friend
Ya ni Kweli kabisa hata mimi natakiwa kulipwa dolla lakini jamaa kila akijaribu kutuma inagoma na mpaka sasa ikanibidi nijaribu kufungua kwa kujaza details za kenya ili ionekane nipo Kenya lakini nilipojaribu kuweka details za Visa card ya Crdb ikagoma sasa sijui tatizo nini labda Mwl. RCT aje atusaidie hapa
cc. Mwl.RCT
mwambie afanye TT tu straight kwenye account yako
Naomba nilete mrejesho hapa kuhusiana na Paypal baada ya kujisalini na Paypal na kujaza details kama mimi Ni Mtanzania ili zingua na pesa haikuingia baada ya kuona hivyo Nikaona isiwe kesi nikaifuta hiyo account na kufungua akaunti nyingine ambayo nikajaza details as if mimi ni Mkenya majina yote yangu kila kitu changu ila tu uraia nikasema ni mkenya..
Well ikakubali na baadae nikaenda kutafuta kadi ya visa ya UBA Bank ambayo sio lazima uwe na akaunti nikafanikiwa kufungua nikadeposit elfu 19 kwenye hiyo kadi then nikarudi kuverify ikakubali na hapo hapo nikapata code za paypal kwenye online statement nikaconfirm na ikakubali then baadae huyo mtu akanitumia pesa kwenye hiyo akaunti na ikakubali kuingia Mziki sasa kwenye Kuitoa nikajaribu kutafuta option ya kuhamisha pesa kutoka Paypal kwenda kwenye Akaunti yangu ya Payoneer ikagoma na baadae nilipowauliza wakasema kuwa kwasasa hivi wameiondoa hiyo huduma ya kutuma pesa kwenye Akaunti ya Paypal lakini pia wakanielekeza jinsi ya kuwithdraw hiyo pesa na kunishauri niwe na akaunti ya Equity Bank Kenya na maelekezo hayo nikiyafuata pesa itatoka sasa swali langu hapa ni je Equity Bank ya Tanzania inaweza kuwa Na Option kama ya Equity Kenya? Hapo ndio naendelea kutafuta njia mbadala lakini ikishindikana itanibidi ninunue vitu online basi lakini changamoto nyingine ni kwamba kuna kitu nataka kununua amazon bahati mbaya Amazon hakuna option ya kulipia Paypal.
Na kama ipo naomba wadau mnielekeze..Ni hayo tu
cc: Shaurimbaya
Mnaona Paypal tu?
Ni kwamba ukiwa mtanzania ni kama umekuwa cursed kwenye kila kitu.
BoT wamesababisha watanzania wasifurahie na wasineemeke na financial system ya dunia nzima.
Kuna baadhi ya huduma huwezi kupata simply kwasababu wewe umetokea Tz.
Naomba nilete mrejesho hapa kuhusiana na Paypal baada ya kujisalini na Paypal na kujaza details kama mimi Ni Mtanzania ili zingua na pesa haikuingia baada ya kuona hivyo Nikaona isiwe kesi nikaifuta hiyo account na kufungua akaunti nyingine ambayo nikajaza details as if mimi ni Mkenya majina yote yangu kila kitu changu ila tu uraia nikasema ni mkenya..
Well ikakubali na baadae nikaenda kutafuta kadi ya visa ya UBA Bank ambayo sio lazima uwe na akaunti nikafanikiwa kufungua nikadeposit elfu 19 kwenye hiyo kadi then nikarudi kuverify ikakubali na hapo hapo nikapata code za paypal kwenye online statement nikaconfirm na ikakubali then baadae huyo mtu akanitumia pesa kwenye hiyo akaunti na ikakubali kuingia Mziki sasa kwenye Kuitoa nikajaribu kutafuta option ya kuhamisha pesa kutoka Paypal kwenda kwenye Akaunti yangu ya Payoneer ikagoma na baadae nilipowauliza wakasema kuwa kwasasa hivi wameiondoa hiyo huduma ya kutuma pesa kwenye Akaunti ya Paypal lakini pia wakanielekeza jinsi ya kuwithdraw hiyo pesa na kunishauri niwe na akaunti ya Equity Bank Kenya na maelekezo hayo nikiyafuata pesa itatoka sasa swali langu hapa ni je Equity Bank ya Tanzania inaweza kuwa Na Option kama ya Equity Kenya? Hapo ndio naendelea kutafuta njia mbadala lakini ikishindikana itanibidi ninunue vitu online basi lakini changamoto nyingine ni kwamba kuna kitu nataka kununua amazon bahati mbaya Amazon hakuna option ya kulipia Paypal.
Na kama ipo naomba wadau mnielekeze..Ni hayo tu
cc: Shaurimbaya
Ni kweli,miaka inaenda ,technologia inakua kwa kasi lakini nchi yetu inaenda taratibu kama konokono.Msitakabali wa inch hii upo mikononi mwa vijana.we need to do something.Mimi naona ni vema tujiorganise then tupeleke mawazo yetu kwa waziri husika or even Mr.president.Otherwise tutabakia kulalamika na miaka inazidi kwenda.