Huduma ya one network bado ipo?

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,918
Reaction score
5,320
Habari ya muda huu wadau,

Naomba kuuliza jambo. Kuna muda fulani TCRA walikuja na mpango wa one network kama nitakuwa sahihi na kumbukumbu zangu ziko sahihi ya kwamba namba yako ya simu ya sasa unaweza kujadili mtandao wa simu bila kuathiri nambari yako ya sasa.

Je hi huduma bado ipo? Kama ipo taratibu zake zikoje?
 
Voda Tigo Airtel waliungana kuipinga.
 
Bila shaka unazungumzia Mobile Numbe Portability (MNP) huduma iliyokuwa inakuwezesha kuhama mtandao na namba yako. Kama ni hiyo haipo.
 
Haipo. Big three (3) waliona jmitawafaidisha wakina Halotel, TTCL, Zantel
Hao big 3 kwenye maslahi huwa wanaungana na kuwa na sauti moja na ndio maana kwenye kupandisha bei za vifurushi kuna wakati huwa wanapandisha kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…