Huduma ya NMB Salary advance imesitishwa

Huduma ya NMB Salary advance imesitishwa

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Habari wana JF ,

Kwa wale wanaotumia huduma ya kukopa kupitia mishahara yao kwa njia ya simu kwa sasa huduma hiyo ya Salary Advance kupitia benki ya NMB imesitishwa. Haijajulikana kwa muda au kwa kudumu.

Hii ni changamoto kwa wafanyakazi wanaojipatia mikopo kabla ya mishahara yao kupitia huduma hii.

Mpaka sasa benki ya NMB haijatoa maelezo yoyote kuhusiana na hali hii.
 
Banks wameshaanza kuona dalili ya mishahara serikalini kutoka kwa mbinde.
 
Back
Top Bottom