princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,359
*149*63#habari!
jamani HALOTEL
wana nipige tafu?
namba zao za kukopa ni zipi!?????
kwa ane zijua Tafadhali
wamekataa*149*63#
Itakuwa hujakidhi vigezo na masharti ambayo ni lazima line uwe umetumia si chini ya miezi mitatu.wamekataa
basi piga 100 inawezekana labda line yako bado haijafikia kiwango cha kukopwawamekataa
*148*66#yan nina credit kwa cm yangu nataka nimgawie mtu nataka menyu
hebu fafanuamfano voda ni *141*01*namba*amount# sasa cjui ntapata.kwa ku dial namba zp menyu yake hamna hyo huduma
mpawa ndo naweka helawakope M pawa sh 5000 itoe ununue vocha ya halotel
dhiki ndugu yangu , umasikini mbaya sanawewe princess kwann ukope
unataka halotel ya shi ngapi?mpawa ndo naweka hela
lakini kiwango cha kukopa naambiwa Tsh0
hapo ndipo nnapoitoa hio hela
1500unataka halotel ya shi ngapi?
AAAH! USIKUBARI KURUHUSU UMASKINIdhiki ndugu yangu , umasikini mbaya sana