Huduma ya Mawasiliano Nchini Tanzania

Huduma ya Mawasiliano Nchini Tanzania

Dr. Matogoro

Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
6
Reaction score
12
Kuna muda unalazimika kuvaa rasmi kulitetea Taifa lako. Serikali imefanya kazi kubwa sana ya kufikisha huduma ya mawasiliano katika maeneo mbali mbali. Kwa dhati ya moyo wangu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) chini ya kiongozi shupavu Dada yangu Justina Mashiba wamefanya kazi kubwa sana!

IMG_4787.jpg


Follow and Retweet:
View: https://x.com/dr_matogoro/status/1738565101202932161?s=46&t=y32w7XBVzR-DV0Zhyk0uFA
 
Back
Top Bottom