HuDuma Ya Kutengenezewa Vitambulisho.

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Vitambulisho pis100 kwa Elfu70. Tunakutengenezea ndani ya saa 3 (masaa3) Kazi Yako inakuwa tayari. gharama za usafiri juu Yako.
 
pc 100 sa3 zimekuwa business card?

Yaan details za watu mia, picha logo kwa saa3 au mpo wafanyakazi 100?
Anyway its good and affordable
 
Vipi kunako vitambulisho vya PCV lakini vyenye stika kama vya NIDA mnatengeneza?
 
Ndiyo Mkuu.
Tafadhali nijuze ni unahitaji vya matumizi gani. Shule / Ofisini?? Na unahitaji pic ngapi?
 
pc 100 sa3 zimekuwa business card?

Yaan details za watu mia, picha logo kwa saa3 au mpo wafanyakazi 100?
Anyway its good and affordable
Sio lazima muwe wafanyakazi mia yaan ni very simple kutengeneza I'd tena izo kama ndio mimi 1 hour nakukabidhi kazi yako tena ni edge to edge Printing, good resolution, full color na durable.
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…