Huduma ya internet Tz

Huduma ya internet Tz

clara

New Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
3
Reaction score
1
Habari wana jamiiforum,

Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
 
TTCL, nakushauri broad band yao ni nzuri.
 
Back
Top Bottom