Huduma ya Fumigation, Landscaping And Gardening

Dith

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
57
Reaction score
16
Tunauwa wadudu wote wanaotambaa, wanaoruka n.k, wadudu ndani ya nyumba na mazingira yanayozunguka nyumba yako, kwenye maua, miti n.k. mfano kunguni, mende, nzi, panya, mbu, wadudu wanaokula mbao (usisumbuke kubadili mbao) n.k. tunashughulika nao. Tukikuhudumia, tunakuacha ukifurahia mazingira ya nyumba yako, ofis yako, nyumba yako ya kulala wageni (guest house), gari yako n.k. Wadudu wa kila aina tunashughulika nao na wanakwisha kabisa.

Tunatoa huduma ya landscaping, gardening na fumigation. Usihangaike sababu ya eneo la nyumbani kwako kujaa maji, tunakuleta suluhisho. Tunakutengenea bustani kwa kupanda nyasi na maua au miti. Tunaweka paving blocks n.k.

Utafurahia mazingira yako.Tunakushauri na kubadilisha mazingira yako kuwa vile uonavyo kwenye ndoto yako. Tunafanya ndoto yako kuwa kweli.

Karibu sana. Huduma zetu ni bora na nafuu.

Wasiliana nasi kwa namba 0769917961 / 0712030252

#landscaping #gardening #fumigation #waduduwambao #waduduwanaokulambao #landscapinggardening #cleanness #cleannessservices #nyumba #ramanizanyumba #daressalaam #cleaningservices #cleaning
View attachment 1607108View attachment 1607110View attachment 1607111View attachment 1607109View attachment 1607112View attachment 1607113
View attachment 1607132
 
Mngeweka na picha za sample kwa kazi mlizofanya hapo nyuma tupime ubora wa kazi mkuu
 
Karibu sana kwa huduma za FumigationView attachment 1607133View attachment 1607135View attachment 1607134View attachment 1607137View attachment 1607136View attachment 1607138View attachment 1607139
IMG-20201020-WA0006.jpg
 
Kwanini usumbuke wakati tupo kukuondolea huo usumbufu!!??

Usipate mawazo sababu ya wadudu waharibifu kwenye garden yako au mimea yako nyumbani! Panya kwenye mabanda ya mifugo wa aina yoyote ya wadudu kwenye nyumba za mifugo, ndani kwako, ofisi yako, kiwanda chako, ghala lako n.k.

Tunadeal na aina zote za wadudu au hasa wanaokula mbao, kunguni, popo, panya, mende, mbu n.k.

Usikose usingizi bure. Karibu tukuhudumie. Huduma zetu ni bora. Hautajutia kutuchagua.

Wasiliana nasi kwa namba 0769917961 / 0712030252
 
Tunaendelea kutoa huduma. Karibu tukuhudumie
 
Back
Top Bottom