Mkuu pole sana, nilipoona tu hii post nilijua tu we umetoka mikoani!! kifupi kwa hapa dar cable utasubili sana hakuna, labda maeneo ya upanga ndio huduma hiyo ilikuwepo, sasa sijui kama bado ipo, ila kwa tmk haijawahi kuwepo, na ndio kinachopelekea kwa dar, supersports kuwa ni anasa!! kwani kama we ni mpenzi wa mipira nunua tu, au uende kwenye mabanda. Kweli kwa dar ni shidaaa, ndio maana ukitoka mikoani inakuwa tabu, ila nadhani ni ukiritimba tu kwani haiwezekani mikoani kuwe na huduma hiyo kwa dar ishindikane, nilishawahi sikia kuwa dstv ndio wanaweka kauzibe wa hii huduma ya cable kwani itaua biashara yao. POLE SANA MKUU CC TULISHAZOEA.