Huduma Mbovu ya VodaCom - Mpesa

Vodacom Igeni wenzenu wa tigo....kwa kuboresho meseji za mrejesho wa Mpesa
1. Mtu akipokea fedha meseji ioneshe jina namba ya simu iliyotuma. Now haionshi INABOA KAMA NINI
5CI818P5BPX Confirmed.
on 18/3/18 at 12:02 PM
Give Tsh103,500.00 cash to IBRAHIM ADAM SANGALI
New M-Pesa balance is TshXXXXX.10.

2. Mtu akituma hela semeni makato mekata bei gani na VAT bei gani?

Mnashindwa kuwa WABUNIFU hata kuiga nako shida?
 
Hivi ukipokea hela haileti jina? Mbona naona hapo jina
 
Kwa huduma hizi zinazotumia mitandao lolote huweza kutokea.

Kwenye ATM kwenyewe kadi inamezwa, alafu ni saa tatu usiku jmosi na unataka kurudi zako kaunta.
 
Taarifa hizo zipo Tatizo watanzania Hatupendi kusoma. Terms and Conditions of Service za M pesa zimechapishwa kila mahali
Watanzania wengi hatujui security ya pesa zetu, watu wanakimbilia kulaumu tu

Ikitokea umetekwa na majambazi, wakakulazimisha utume pesa ulizo nazo kwenye simu kama milioni tano na ukazituma zote, bado watu watawalaumu Voda kwa nini system yao inaruhusu transaction kubwa hivyo?

Ila yote kwa yote, mpesa wanafuata taratibu za kifedha zilizowekwa na Central Bank
 
Huwa inakuja na namba mkuu hapo Wewe hiyo meseji umewekewa na wakala imekuja jina na namba na hata mtu wa kawaida akikutumia inakuja jina pamoja na namba
Hii jee
5BS117BCCB7 confirmed. You have received a payment of Tsh300.00 from 236464 - TIGO PESA TANZANIA on 28/2/18 at 2:08 PM. New M-Pesa balance is Tsh30,022.10 ?????
Hata unazomtumia mtu, eti mtu akikupa namba umtumie mpaka uisevu la usipoisevu ukishamtumia meseji ya mrejesho kutoko voda HAITAJI NAMBA hela ilikoenda...WHAT IS THIS wala hawasemi wamekukata sh. ngp?

5CG118LDGBV Confirmed. Tsh50,000.00 paid to LIPA TRIPLE SEVEN 777 BARRESTAURANT on 16/3/18 at 9:52 PM.New M-Pesa balance is Tsh104,302.10.
 
Za mtandao mwingine yes haziji namba wala jina (kama ametumia njia ya kuingia kwa akaunti moja kwa moja). Ila mbona hata Tigo pesa haiji?
 
Za mtandao mwingine yes haziji namba wala jina (kama ametumia njia ya kuingia kwa akaunti moja kwa moja). Ila mbona hata Tigo pesa haiji?

Tigo wala hata usijilinganishe nao, wana information nyingi kwa mteja kuliko voda, Tigo wana huduma ya 'TIGO JIHUDUMIE' kwenye hiyo huduma unapata kuona miamala yote na details zoote ya kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita wanakutumia kwenye email, VODA MNAYO HIYO???? kwa mtu anayepokea michano say ya msiba au harusi or au Mhasibu wa kikundi or the like, Tigo is the best....wanaotuma kupitia voda sasa, its a disaster....mara meseji za salio mtu katuma, salio linaongezeka but meseji isije, ukipiga customer care kuomba wakutumie miamala eti hawawezi mpk uende phisically vodashop, yaani zama hizi za digitaly kupata statement mpk uende vodashop.... mpk imefika mahli kuepuka kero za mpesa inabidi niwaombe watu wote watume kuja tigo na sio MPESA......
 
Mkuu mbona kama unanisema mimi , nilikuwa naongelea uzoefu wangu maana mimi pia ni mtumiaji wa mitandao kibao kimunigeuka nachambwa utadhani mimi ndio Vodacom. Kitu kingine ni kwamba tulikuwa tunaongelea jina na namba ya mteja kuja unapokuwa umetumiwa pesa naona umerukia sehemu nyingine...alafu malalamiko yote haya utashangaa bado unatumia Voda, si utupe tu ubakiwe na Tigo mkuu
 

Hapa tunazugumzia Huduma Mbovu za Vodacome....Meseji nimetuma hapo zina jina bila namba unajibu hata tigo hawana so what? nimekuongezea hapo na kero nyingine....kama huna majibu kaa kimya....
 
Hapa tunazugumzia Huduma Mbovu za Vodacome....Meseji nimetuma hapo zina jina bila namba unajibu hata tigo hawana so what? nimekuongezea hapo na kero nyingine....kama huna majibu kaa kimya....
Mimi nilikuwa nazungumzia meseji na jina we unakuja kunitwisha mizigo yako hapa namba ya customer care huijui? Rubbish
 
Mimi nilikuwa nazungumzia meseji na jina we unakuja kunitwisha mizigo yako hapa namba ya customer care huijui? Rubbish

Kama biashara imewashinda ondokeni sokoni, sio matangazo meengi kumbe hamna kitu, ubabaishaji tu.....nashukuru kwa kushindwa kutoa majibu watanzania wawajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…