Hapa sioni km Vodacom wanamakosa.. ila wewe mwenyewe . Account zote za M Pesa Mwisho ni Million 1 kutoa.. kama Ulikuwa unajua Hilo huna sababu ya Kulalamikakuna siku nilipata shida, nilikua natoa million 3 kwenye m-pesa wakaniambia account yangu haina uwezo wa kufanya hiyo transaction , kuwaambi wakaniambia hadi baada ya masaa 72 ndio wata upgrade account iwe na huo uwezo. nilikoma siku hiyo mambo yangu yalilala bila kutegemea, m-pesa na voda sio kabisaaa
Hapa sioni km Vodacom wanamakosa.. ila wewe mwenyewe . Account zote za M Pesa Mwisho ni Million 1 kutoa.. kama Ulikuwa unajua Hilo huna sababu ya Kulalamika
Kweli mkuu.Hapa sioni km Vodacom wanamakosa.. ila wewe mwenyewe . Account zote za M Pesa Mwisho ni Million 1 kutoa.. kama Ulikuwa unajua Hilo huna sababu ya Kulalamika
Ndo maana Nikasema Kama Ni Basic User Mwisho ni. Mil 1... Kuhusu swala La Why Unawekewaa Limit hilo ni security za Pesa Zako zaidi... Hata Benki kuna Limit Kwenye ATM. Hata Uweke Mil 200 huwez Zitoa Zote kwenye ATMunawekaje limit ya mtu kutoa hela yake pasipo taarifa kipindi mna msajiri kwenye huduma?
m-pesa sio mwisho kutoa kwamba ni 1 mill, mie baada ya ku upgrade natoa hata 2 mill kwa mkupuo.. wahuni tu kama wahuni wengine wa kwenye taasisi za kifedha
Ndo maana Nikasema Kama Ni Basic User Mwisho ni. Mil 1... Kuhusu swala La Why Unawekewaa Limit hilo ni security za Pesa Zako zaidi... Hata Benki kuna Limit Kwenye ATM. Hata Uweke Mil 200 huwez Zitoa Zote kwenye ATM
So Usijali shida Zako Ukasahau usalama wa Pesa Zako
Taarifa hizo zipo Tatizo watanzania Hatupendi kusoma. Terms and Conditions of Service za M pesa zimechapishwa kila mahaliWawe wanasema sio mambo ya kushtukizana, sio kila mtu anajua hicho kitu ( basic user ). mtu wanapo msajiri wawe wanampa hizo taarifa.
Ni vyema ungesema Ni default ni sh Ngap... Na Kwanini Mtumia Wa Mpesa Haruhusiwi zaidi ya Milioni 1 mpka Afanyiwe Upgrading ya Account yake.. hapo utakuwa umesaidiaSio kweli.
Milioni 1 sio default amount.
Naona unawatetea sana Vodacom. Hebu watetee kuhusu hela ku hang wakati mtu amenunua tiketi ya ndege na safari ni ya emergencyTaarifa hizo zipo Tatizo watanzania Hatupendi kusoma. Terms and Conditions of Service za M pesa zimechapishwa kila mahali
Nashangaa mbona mimi natoa hadi 4.8!!?Sio kweli.
Milioni 1 sio default amount.
Piga simu huduma kwa wateja upewe ufafanuzi sio kila Jambo kulaumukuna siku nilipata shida, nilikua natoa million 3 kwenye m-pesa wakaniambia account yangu haina uwezo wa kufanya hiyo transaction , kuwaambi wakaniambia hadi baada ya masaa 72 ndio wata upgrade account iwe na huo uwezo. nilikoma siku hiyo mambo yangu yalilala bila kutegemea, m-pesa na voda sio kabisaaa
Siwatetei ila Kuna Baadhi ya Vitu Watanzania huwa tunakosea Sana kwa Sababu ya Uvivu wetu wa kufikiri. Kila Kitu ni kulaumu utadhani wewe Kwenye Familia yako au Ofisini kwako huwa Unatimia majukumu Kwa Asilimia 100%Naona unawatetea sana Vodacom. Hebu watetee kuhusu hela ku hang wakati mtu amenunua tiketi ya ndege na safari ni ya emergency