Mzee ukiwa vizuri pia mwezi wa 9 mwishoni kabisa nenda Nairobi kenya kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya ya Nairobi. Yale ni Makubwa East and Central Africa. Mkuu kule unaweza toka kichwa mimeflashika vibaya mno.Kwa wadau wote wa kilimo na ufugaji,
muda wa kupata maarifa mapya ni huu mpaka tarehe 8/8.
Tuepuke kufanya ufugaji na kilimo cha mazoea. Ukihudhuria maonesho haya utajifunza mengi kitaalam kati ya haya
Mbegu bora, nafaka, spices, matunda kama strawberry etc
Namna ya kuhudumia shamba na mifugo
Namna ya kukabiliana na changamoto
Masoko
Teknologia
Utaona mifugo bora kabisa na connection ya kuinunua iwapo utahitaji mfano ng'ombe, mbuzi, nguruwe, kuku, mbwa, bata etc
Utapunguza kuwa muhanga wa kuuliza maswali mepesi sana JF.
Itakupa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya nini cha kufuga au kulima
Itakupa ujasiri wa kufanya kivitendo
Kukubadili kimtazamo
Nashauri ukifika kwenye maonesho haya uwe na lengo la kujifunza kwa kina kwa kuuliza chochote kile, usiende kutalii tuu, angalau masaa 5 kila siku kwa siku 4 utajifunza kitu. Kuna mengi sana mazuri huku.
Usione gharama za usafiri, malazi na chakula kama kikwazo. Faida ni kubwa sana usingoje mwakani.. too far, nenda sasa uanze kujipanga taratibu kufikia malengo yako.
Kwangu mimi nilipenda sana maonesho ya mwaka jana ya kanda ya kaskazini Arusha-njiro. Mwaka huu nitakuwa southern highlands mbeya.
Mzee ukiwa vizuri pia mwezi wa 9 mwishoni kabisa nenda Nairobi kenya kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya ya Nairobi. Yale ni Makubwa East and Central Africa. Mkuu kule unaweza toka kichwa mimeflashika vibaya mno.
Ni maonyesho mazuri mno na makubwa sana ile Sabasaba ni cha mtoto
Mkuu hua ni tar ngp je gharama za chumba bei gani per day! !
jamma kaulizia nauli ya Nai to arachuga, chakula NKNaendaga na kurudi. Nairobi huwa naenda na kurudi kulala arusha. Naondokaga saa 10 asubuhi ikigika saa 12 niko boda nisha gonga muhuri na by saa 3 au 4 niko Nairobi na kule natoka saa 12 kamili jioni na by saa 4 niko Arusha
Akijibu nitagjamma kaulizia nauli ya Nai to arachuga, chakula NK
Asante mkuu, nitaangalia ratiba zilivyokaa, huwa nachota maarifa mengi kutoka Kenya. Jamaa wapo vizuri sana kwenye kilimo biashara dunianiMzee ukiwa vizuri pia mwezi wa 9 mwishoni kabisa nenda Nairobi kenya kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya ya Nairobi. Yale ni Makubwa East and Central Africa. Mkuu kule unaweza toka kichwa mimeflashika vibaya mno.
Ni maonyesho mazuri mno na makubwa sana ile Sabasaba ni cha mtoto
jamma kaulizia nauli ya Nai to arachuga, chakula NK