Hudah Boss Chick: Yes, nitakuwepo Zari All White Party

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Ile show ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa mtoto mkali aka malkia wa East Africa,Malkia wa swaga East Africa, mwanamke mzuri kuliko wote East Africa, Mwanamke Tajiri kuliko mastaa wote East East aka muke mtarajiwa wa the big super star from East Africa Diamond platnums aitwaye zari the bosslady anaungana na bosslady mwenzie huddah the boss chick kutoka Kenya kuja kuwavuruga watoto wa Tz, ni pale pale Mlimani city, tarehe ni ile ile, unaanzaje sasa kukosa? "Ambie Rafiki yako awaambie rafiki zake kuwa tarehe 01/5 KINANUKAA!!! " (In zaris voice ).ahahahah hahah shemeji umeuaaa!! Nakupendaga ujue?

We love you zari .
 
Attachments

  • 1430320753001.jpg
    1430320753001.jpg
    36.2 KB · Views: 1,372
Party njema Huddah tangia utoke BBA week ya kwanza kwa vituko nakuona umekuwaga mpole karibu Tiziiiii yetu eeh.
 
Hivi unakumbuka kipindi kile alichokujaga alivyoletwa na director Joan?
Ha ha ha ha alichofuata siri yangu.
 
Hata wanafiki pia watakuwepo kwenye hii party muhimu ni pesa yako tu na ukitoa pesa haikataliwi.
 
Sikumbuki vizuri ila naweza Ku connect dot mana bidada huwa hapitwi na kitu.

Kumbuka tu vizuri.Kipindi hicho nilikuwaga insta ilikua balaa.
Na akawaambia wale wanaompenda wakutane Slip way wakapige selfie na watu wakaenda!
 
huyo demu kapinda balaa, ni mchafu kupindukia but ni cute
 
Kumbuka tu vizuri.Kipindi hicho nilikuwaga insta ilikua balaa.
Na akawaambia wale wanaompenda wakutane Slip way wakapige selfie na watu wakaenda!

Na hapo akitoka kwenye party lazima atakua na business nyingine as usual.
 
Ile show ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa mtoto mkali aka malkia wa East Africa,Malkia wa swaga East Africa, mwanamke mzuri kuliko wote East Africa, Mwanamke Tajiri kuliko mastaa wote East East aka muke mtarajiwa wa the big super star from East Africa Diamond platnums aitwaye zari the bosslady anaungana na bosslady mwenzie huddah the boss chick kutoka Kenya kuja kuwavuruga watoto wa Tz, ni pale pale Mlimani city, tarehe ni ile ile, unaanzaje sasa kukosa? "Ambie Rafiki yako awaambie rafiki zake kuwa tarehe 01/5 KINANUKAA!!! " (In zaris voice ).ahahahah hahah shemeji umeuaaa!! Nakupendaga ujue?

We love you zari .

:teeth: Warumi huwa unanichekeshaga sometimes:becky:
 
Warumi hata hanifunguliii ananiudhi ngoja nikajitoee

Nakuambia mimi mwenyewe imebidi nimuambie ndio akanifungulia.
Si aweke open tu anafunga ya nini? Kwasasa ndio anaanza hatakiwi kufunga labda baada ya kupata followers wengi halafu akiwa na ugomvi na watu ndio afunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom