D Dodoma moja JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 319 Reaction score 209 Jun 29, 2015 #1 Wakuu, Naombeni msaada kuhusu hiyo simu bei yake na ubora wake kwa ujumla, nimeambiwa ni double line lakini mimi nijuavyo huawei original huwa ni single line sasa sijui kuhusu hii simu.
Wakuu, Naombeni msaada kuhusu hiyo simu bei yake na ubora wake kwa ujumla, nimeambiwa ni double line lakini mimi nijuavyo huawei original huwa ni single line sasa sijui kuhusu hii simu.
gachuru one Senior Member Joined Oct 31, 2014 Posts 119 Reaction score 52 Jun 29, 2015 #2 lko poa xana mkuu mi mwenyewe ndo natumia na bei inategemea na eneo lakini bei ni kati ya 250000 up to 290000 iyoo bei ni kwa mpya
lko poa xana mkuu mi mwenyewe ndo natumia na bei inategemea na eneo lakini bei ni kati ya 250000 up to 290000 iyoo bei ni kwa mpya
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,000 Jun 29, 2015 #3 Buku kwa mangi!
D Dodoma moja JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 319 Reaction score 209 Jun 30, 2015 Thread starter #4 gachuru one said: lko poa xana mkuu mi mwenyewe ndo natumia na bei inategemea na eneo lakini bei ni kati ya 250000 up to 290000 iyoo bei ni kwa mpya Click to expand... Ni laini ngapi hii simu?
gachuru one said: lko poa xana mkuu mi mwenyewe ndo natumia na bei inategemea na eneo lakini bei ni kati ya 250000 up to 290000 iyoo bei ni kwa mpya Click to expand... Ni laini ngapi hii simu?