Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Mkuu pole sana....mm mwenyewe natumia hiyohiyo aina ya Simu,mwanzo nikawa na tatizo kama lako .nilichofanya ni kutafuta memory card ya 4gb then storage zoote nikaamisha from internal to external tatizo likawa limekwisha mkuu....napenda simu hii coz inakaa sana na charge ukilinganisha na smart zingine...over
hio mb 800 ni internal au memory card?
Mkuu pole sana....mm mwenyewe natumia hiyohiyo aina ya Simu,mwanzo nikawa na tatizo kama lako .nilichofanya ni kutafuta memory card ya 4gb then storage zoote nikaamisha from internal to external tatizo likawa limekwisha mkuu....napenda simu hii coz inakaa sana na charge ukilinganisha na smart zingine...over
Ngoja nijaribu......nitakupa mrejesho wa kitakachotokea
Mkuu pole sana....mm mwenyewe natumia hiyohiyo aina ya Simu,mwanzo nikawa na tatizo kama lako .nilichofanya ni kutafuta memory card ya 4gb then storage zoote nikaamisha from internal to external tatizo likawa limekwisha mkuu....napenda simu hii coz inakaa sana na charge ukilinganisha na smart zingine...over
Hiyo ndo dawa yake mkuu...iwache internal memory iwe free OK....utafurahia saana mkuu trust me.....
Tayari mkuu imefanikiwa
Tayari mkuu imefanikiwa
Rudisha nyundo stood.!