Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,444
Habari wana JF?
Kifupi nimeanza kuziogopa bidhaa za Huawei baada ya kukutana na jamaa yangu Huawei Y300 imemfia.
Ni bado mpya, ila inatoa alert messages zisemazo "unfortunately, contact has stopped", watsapp, display, na kila kitu kina stop kwenye simu na huwezi kufanya chochote! Hajaiangusha wala kuifanya chochote, ni yenyewe system imekufa tu
Tukajaribu kuupdate inakataa "your EMMC is readonly"
Tumekwenda kwa mafundi kama wanne wote wanasema ishakufa hiyo. Mbaya zaidi imevizia warrant kuisha, ina mwezi na nusu tangu warrant yake iishe.
Wadau wa technology, inawezekana hili tatizo likafanya simu nzima itupwe??
Nawasilisha