ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Dec 19, 2013 #1 Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=) nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote 0713644485 number yangu
Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=) nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote 0713644485 number yangu
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,925 Dec 19, 2013 #2 sasa ww umeisha itumia ndio unauza bei hiyo wakati dukani.mpya ni sh195000
asha ngaswaga Member Joined Nov 16, 2013 Posts 48 Reaction score 7 Dec 19, 2013 #3 Acha wiz tgo watakuuwa
ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Dec 19, 2013 Thread starter #4 Remote said: sasa ww umeisha itumia ndio unauza bei hiyo wakati dukani.mpya ni sh195000 Click to expand... poa kanunue dukani kama zipo
Remote said: sasa ww umeisha itumia ndio unauza bei hiyo wakati dukani.mpya ni sh195000 Click to expand... poa kanunue dukani kama zipo
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Dec 19, 2013 #5 ERIK said: Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=) nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote 0713644485 number yangu Click to expand... Embu kuwa realistic kijana. Tigo hizo simu mpya bei ya promo wanauza 199,000. We umeitumia week mbili unauza laki 2 na 20. Ningekuelewa kama ungesema 180,000 na kushuka. Jipange.
ERIK said: Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=) nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote 0713644485 number yangu Click to expand... Embu kuwa realistic kijana. Tigo hizo simu mpya bei ya promo wanauza 199,000. We umeitumia week mbili unauza laki 2 na 20. Ningekuelewa kama ungesema 180,000 na kushuka. Jipange.
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,072 Reaction score 641 Dec 19, 2013 #6 Je inatumia line Yoyote? ?