Huawei y300-0100 firmware update issue

stable-negro

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
509
Reaction score
347
habarini za jion wandugu. kwa yeyote aliyewahi kufanya hard reset ya huawei y300-0100 kwa kutumia memory card au mbinu nyingine akafanikiwa naomba anisaidie please coz nimejaribu kufanya hard reset kwa mbinu ya memory card ila inafika step ya pili inafail

nawasilisha wakuu...
 

wewe unataka Kufanya hard reset au unataka Ku update firmware?
 
shida inakuja WAP sasa wakat una hard reset?

natumia ile technique ya kuweka update kwenye sd card sema kwenye process ya kuupdate inaunpack firmware vzuri ila ikifika kwenye step ya kufanya installation inafail
 
Yani sjaelewa mnachoongea ivi hard rest ndo nn na inamanufaa gan kufanyka kweny cm
 
natumia ile technique ya kuweka update kwenye sd card sema kwenye process ya kuupdate inaunpack firmware vzuri ila ikifika kwenye step ya kufanya installation inafail

ume copy dload ukaeka kwenye sd card? hyo firmware uliyoweka ni sawa na ya Simu yako? nenda kwenye site ya Huawei na ukapakue firmware yako hakikisha iwe ni y300-0100
 
ume copy dload ukaeka kwenye sd card? hyo firmware uliyoweka ni sawa na ya Simu yako? nenda kwenye site ya Huawei na ukapakue firmware yako hakikisha iwe ni y300-0100

firmware nliyopakua ndo yenyewe mkuu, nmechukua ile ambayo ni official kabsa
 
nliipakua ikiwa kama zip folder then nkaicopy dload kwny desktop halaf nkaicopia kwny sd card mkuu
 
then nkapachika sd kwny simu, halaf nkabonyeza vol up & down buttons & power button halaf ndo ikaanza kuupdate...sema ndo hvyo inafail kwny step ya 2
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…