Huawei Wametoa PC ya kwanza ambayo ni foldable

and 100 others

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2023
Posts
4,515
Reaction score
14,990
Kama uliona simu ambazo ni foldable kama Samsung Galaxy Z fold, Galaxy Z flip na simu nyingine kama hizo ambazo ni foldable fahamu pia kuna laptop imetoka ambayo pia ni foldable ambayo ni Huawei MateBook Fold.


Kwa sasa inapatikana China pekee, RAM ni 32 GB na storage zinakuja na size tofauti 512GB/1TB/2TB SSD.
Bei ni kuanzia $3,330. Screen ni OLED ya inchi 18 inayokunjika.

OS inatumia Harmony OS 5 sijafahamu bado kama kuna uwezekano wa ku install windows, linux n.k... nadhani zikishaanza kuenea tutapata habari zaidi.

Kwa hili Huawei wametisha sana, wapo vizuri.

 
Waachane na soko la PC chap chap kabla hawajafirisika
 
Soko lao gumu wapi?.Maana hao soko lao wanalilenga kwao kwanza.Uku nyie mtakuja kupata matoleo mengine badae kwajinsi watakavyoona muitikio.Hiyo kampuni ni kubwa sana uchina
Sawa mkuu, kweli kampuni ilikuwa kubwa sana lakini Kwa Sasa wanategemea sana ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ