Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Nov 10, 2015 #1 Nilikua nauliza hizi simu za huawei kua naweza kui update kutoka Jelly bean 4.2.2 kwenda Kit Kat 4.4.2 msaada plz
Nilikua nauliza hizi simu za huawei kua naweza kui update kutoka Jelly bean 4.2.2 kwenda Kit Kat 4.4.2 msaada plz
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Nov 10, 2015 #2 Hizo simu za huawei zipo zaidi ya 100
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Nov 10, 2015 #3 model ndio cha muhimu make sure watu mnavyopost weka full details sometimes unaweza fanya mtu akaoverlook
model ndio cha muhimu make sure watu mnavyopost weka full details sometimes unaweza fanya mtu akaoverlook
fellinjohn7 Member Joined Mar 15, 2013 Posts 65 Reaction score 39 Nov 10, 2015 #4 mie naitaji Ku_update huawei ascend y530-U00 niipeleke Android version ya juu zaidi may be kit kat au lolipop..msaada jaman Chief-Mkwawa
mie naitaji Ku_update huawei ascend y530-U00 niipeleke Android version ya juu zaidi may be kit kat au lolipop..msaada jaman Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Nov 10, 2015 #5 fellinjohn7 said: mie naitaji Ku_update huawei ascend y530-U00 niipeleke Android version ya juu zaidi may be kit kat au lolipop..msaada jaman Chief-Mkwawa Click to expand... huwezi, zipo custom rom ila sio stable
fellinjohn7 said: mie naitaji Ku_update huawei ascend y530-U00 niipeleke Android version ya juu zaidi may be kit kat au lolipop..msaada jaman Chief-Mkwawa Click to expand... huwezi, zipo custom rom ila sio stable
mchushi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 216 Reaction score 98 Nov 15, 2015 #6 Chief-Mkwawa said: huwezi, zipo custom rom ila sio stable Click to expand... Mie naomba msaada kuupdate galaxy tab3 yangu iende angalau kwenye kitkat.....msaada plz!!!
Chief-Mkwawa said: huwezi, zipo custom rom ila sio stable Click to expand... Mie naomba msaada kuupdate galaxy tab3 yangu iende angalau kwenye kitkat.....msaada plz!!!
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Nov 16, 2015 #7 mchushi said: Mie naomba msaada kuupdate galaxy tab3 yangu iende angalau kwenye kitkat.....msaada plz!!! Click to expand... Hakuna official update na custom rom kama hujui kufanya mwenyewe nakushauri tu achana nazo maana utakwenda kutana na bugs za kutosha tu huko mbele ya safari mwisho wa siku utakua we muda wako wote ni kusolve vitu tu kwenye tab yako
mchushi said: Mie naomba msaada kuupdate galaxy tab3 yangu iende angalau kwenye kitkat.....msaada plz!!! Click to expand... Hakuna official update na custom rom kama hujui kufanya mwenyewe nakushauri tu achana nazo maana utakwenda kutana na bugs za kutosha tu huko mbele ya safari mwisho wa siku utakua we muda wako wote ni kusolve vitu tu kwenye tab yako
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Nov 16, 2015 #8 Mi sio mzoefu wa simu ila nimesoma imeandikwa Android 4.4.2 sijui ndo version gani hiyo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Nov 16, 2015 #9 peterchoka said: Mi sio mzoefu wa simu ila nimesoma imeandikwa Android 4.4.2 sijui ndo version gani hiyo Click to expand... Hio ni kitkat
peterchoka said: Mi sio mzoefu wa simu ila nimesoma imeandikwa Android 4.4.2 sijui ndo version gani hiyo Click to expand... Hio ni kitkat
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Nov 16, 2015 #10 Chief-Mkwawa said: Hio ni kitkat Click to expand... Poa poa, kwani tofauti inakuwaga kwenye nini hasa.?
Chief-Mkwawa said: Hio ni kitkat Click to expand... Poa poa, kwani tofauti inakuwaga kwenye nini hasa.?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Nov 16, 2015 #11 peterchoka said: Poa poa, kwani tofauti inakuwaga kwenye nini hasa.? Click to expand... Hivi ndio vitu vilivyoeka kwenye kitkat compare na version za nyuma https://www.android.com/versions/kit-kat-4-4/
peterchoka said: Poa poa, kwani tofauti inakuwaga kwenye nini hasa.? Click to expand... Hivi ndio vitu vilivyoeka kwenye kitkat compare na version za nyuma https://www.android.com/versions/kit-kat-4-4/
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Nov 16, 2015 #12 Chief-Mkwawa said: Hivi ndio vitu vilivyoeka kwenye kitkat compare na version za nyuma https://www.android.com/versions/kit-kat-4-4/ Click to expand... Shukriya
Chief-Mkwawa said: Hivi ndio vitu vilivyoeka kwenye kitkat compare na version za nyuma https://www.android.com/versions/kit-kat-4-4/ Click to expand... Shukriya